TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Nimrod Elireheemah Mkono

The Typologically Different Question Answering Dataset

Nimrod Elireheemah Mkono (amezaliwa tar. 18 Agosti 1943)katika kijiji cha Busegwe ni mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini alianza ubunge mwaka 2000~2015 bado ni mbunge wa musoma vijijini  katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.nimrod mkono ni mwana maendeleo kwa sababu amejenga shule nyingi baadhi ya shule ni chief ihunyo iliyopo kijiji cha busegwe,shule ya msingi busegwe,chief wanzagi,chief oswald mang'ombe,shule ya sekondari Butuguri,shule ya sekondari kasoma na nyingine nyingi uchaguzi wa mwaka 2010 alipita bila kupingwa na pia ni wakili wa kimataifa wa kujitegemea pia nimrod mkono ni mzanaki kabila ambalo rais wa kwanza wa tanzania julius kambarage nyerere alikuwa na pia mheshimiwa mkono ametoa mchango mkubwa kufanikisha kupatikana kwa wilaya mpya ya butiama[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Nimrod Elireheemah Mkono alizaliwa wapi?

  • Ground Truth Answers: BusegweBusegwe

  • Prediction: